damu ya salaam Songtext - Khadja Nin

tangu iraki mpaka amerika
wako karibu yakufunga vita
mi mama mzazi nauliza
ni nani ata linda watoto wetu
bwana hussein anasema:
"nataka salaam"
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mwangiwa
ni ya wadogo na watoto tu

mimi huyu nakosa njiya
yakusikika kwa wakubwa

mutu mudogo analiya wake
siraha ya amani ilikuta kwake
mr.clinton anasema:
"nataka salaam"
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mwangiwa
ni ya wadogo na watoto tu

mr.clinton anasema:
"nataka salaam"
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mwangiwa
ni ya wadogo na watoto tu


Videos
Video
Alle Musiktexte von Khadja Nin
Musikvideo damu ya salaam
status
Fehlerfrei!

Eingestuft von Unbekannt
weitere kostenlose Liedtexte von Khadja Nin
Duniya ile Sambolera Oh wanayijifondeya Duniya yetu Sambolera Mbona wazimu mayi Watu wa duniya Sambole...
Ahiya Ahiya Kwa baraka Mimi napona Kabisa ni hajabu Sina mwili tena Niko sawa upepo Mimi masikini Si...
leo nasaili ju mimi sikuelewa mambo yale unasema embargo ni njiya ya kuleta amani kwangu kwa vile naona ni watu w...
Ni zamani sana mbele ya mbele Amani ingali fasi yoyote Ni zamani sana kama milele Ni adisi yako wewe ma mkubw...
Haya mpaka ulaya Haya mpaka aziya Ata kule amerika Unalala mutoto njiyani Unalala mutoto inje Ni haya Usi ulize jina...
heweye mama ikala cini pumuzika kidongo mayisha yako yote mama usiku na mucana unaha unaha unahangayika unatafuta ma...
tarehe makuni tatu na moja ya mwaka juzi umetuaca ukaji endeya bila kusema wuko wa wuko wa wuko wapi mwenyezi mu...
Mbali ya ma inchi yote Mbali ya Paris au Roma Kuna watu masikini Hawa liye hawa ombe Wana itika tu vile Wale wa...
analiya disiwe mume wake ajali haina kinga wala kafara anaenda kijana maladi inamushinda ana aca bibi na mu...
Una hangaliya inje una ona njala watoto wana liya cakula hawa juwe kama una ji uliza ata we mukubwa mpaka gani kila...
Kommentare zum Songtext: "damu ya salaam"
Dein Kommentar: eingelogged als Gast
Werbung    17.05.2010